Home KITAIFA MORRISON KUSAJILIWA SINGIDA BIG STARS

MORRISON KUSAJILIWA SINGIDA BIG STARS

0

Baada ya kuonekana Dili la mkataba mpya kusua sua ndani ya klabu ya Yanga kwa Kiungo Mshambuliaji Benard Morrison, huku kukiwa na tetesi pia inawezekana akaachwa kutokana na mwenendo mbovu wa Heshima katika klabu kama Mchezaji.

Singida Big Stars wamegonga mlango kutaka huduma yake kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao huku akitazamiwa kufanya makubwa katika michezo ya kimataifa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here