Home KITAIFA NAMUNGO 1-1 SIMBA

NAMUNGO 1-1 SIMBA

0

MAJIBU ya alichokuwa anafikiria kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim anayo kwenye mikono yake.

Ubao wa Uwanja wa Majaliwa unasoma Namungo 1-1 Simba ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Shuti la kwanza kwa Simba kulenga lango dakika ya 27 lilizama mazima nyavuni huku mtupiaji akiwa ni Jean Baleke.

Bao la Namungo ni mali ya Hassan Kabunda dakika ya 39 akitumia makosa ya Salim aliyekuwa akipambana kuokoa kona iliyopigwa na Shiza Kichuya.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here