Home KIMATAIFA PHIL JONES RASMI KUONDOKA UNITED MWISHO WA MSIMU

PHIL JONES RASMI KUONDOKA UNITED MWISHO WA MSIMU

0

Beki wa Manchester United, Phil Jones ameaga rasmi mashabiki wa timu hiyo baada ya kuitumia kwa muda wa miaka 12.

Klabu ya Man United ikathibitisha kwamba beki huyo ataondoka msimu utakapomalizika.

Beki huyo alikaa nje ya dimba kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here