Home KITAIFA SIKU CHACHE BAADA YA KUPATA DILI ULAYA, OPPA AFUNGUKA ISHU YA KURUDI...

SIKU CHACHE BAADA YA KUPATA DILI ULAYA, OPPA AFUNGUKA ISHU YA KURUDI ZAKE BONGO

0

Muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Beskitas ya Ligi Kuu Uturuki Opah Clement atarejea Bongo baada ya ligi yao kumalizika.

Opah alicheza mechi yake ya mwisho ya ligi kwa msimu huu juzi na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya ALG Spor.

Opah alisema, atarejea nyumbani kupumzika akisubiri msimu mpya wa ligi ambao unatarajia kurejea mwishoni mwa mwaka huu.

Opah aliondoka Simba Queens akiwa amefunga mabao 9, lakini akiwa Uturuki hajapata muda mrefu wa kukaa uwanjani na kuitumikia timu yake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here