Home KITAIFA SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE NA RUVU SHOOTING

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE NA RUVU SHOOTING

0

BAADA ya kumaliza mwendo kwenye kuwania Kombe la Azam Sports Federation sasa nguvu za Simba ni kwenye mechi za ligi.

Ni usiku mwingine kwa kazi ya msako wa pointi tatu muhimu ndani ya ligi, Ruvu Shooting wanapambana kupata pointi tatu wacheza mchezo wa mtoano .

Vinara wa ligi ni Yanga ambao wamekuwa kwenye mwendo mzuri wanahitaji pointi tatu kutetea taji la ubingwa.

Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Nangwanda,Sijaona ukisoma Azam FC 2-1 Simba.

Mabao ya Lusajo Mwaikenda na Prince Dube yaliituliza Simba ambayo ilipata bao kupitia kwa Kanoute.

Mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ni dhidi ya Ruvu Shooting Ijumaa Mei 12, 2023 kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here