Kumekuwa na tetesi zikiendelea kuwa kipa namba moja wa klabu ya Simba SC, Aishi Salum Manula kusajiliwa na klabu ya Matajiri wa Soka Tanzania Azam Fc.
Ambapo Kwa mujibu wa Jemedari Said Meneja wa Aishi Salum Manula ni kwamba Manula hajasaini mkataba wowote na Azam FC kama inavyosemekana.
Manula bado ni mchezaji wa Simba SC na kama kuna klabu yoyote inamtaka basi iende Simba thamani yake ni Bil. 2.3
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE