Home KITAIFA WAARABU WATENGA DONGE NONO KWA NABI, IBENGE, YANGA WAJIPANGE KUPINDUA MEZA

WAARABU WATENGA DONGE NONO KWA NABI, IBENGE, YANGA WAJIPANGE KUPINDUA MEZA

0

Uongozi wa Esperance de Tunis kupitia kwa Mwenyekiti wao Hamdi Maddeb umeanza mchakato wa kuinasa sahihi ya Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman, Florent Ibenge ili aje kuchukua nafasi ya Kocha wao Mkuu aliyejiuzulu hivi karibuni naada ya kupooea kichapo cha (3-0) kutoka kwa Al Ahly wakiwa kwao Tunis.

Pia katika orodha hiyo ya makocha wanaohitajika na Esperance Tunis yapo majina ya makocha wengine akiwemo Pitso Mosimane na Nasserdin Nabi ambaye kwasasa ameweka wazi hayupo tayari kupokea Ofa mpya nje ya Yanga SC.

Wakati tetesi hizo zikizidi kushika kasi huko Sudan, Sokahubtz wamefatilia kwa undani na kugundua kwamba Al Hilal Omdurman wenyewe hawana mpango wa kumwacha Ibengè aondoke kwani wanataka aendelee kusalia ndani ya timu hiyo kwaajili wana mpango na Ibenge wa muda mrefu lakini hali ya Sudan kwa sasa inaweza kufanya mambo kuwa magumu kumbakisha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here