ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya nusu fainali.
Ni dhidi ya Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini ambao usiku wa kuamkia leo Mei 9,2022 wamewasili ndani ya ardhi ya Dar.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE