Timu ya wachezaji wakongwe wa Zambia imewashushia kipigo kizito cha mabao 3-0 timu ya wakongwe wa Barceleona kwenye mchezo wa Maonesho uliofanyika jana Jijini Lusaka, Zambia. Ronaldinho, Kluivert, Saviola, Giovanni, Mendieta, Déhu, Coco, Sergi, Gabri, Edmilson na Mendieta Guzmán waliichezea Barcelona Legends. Kalusha Bwalya na Emmanuel Mayuka walikuwa sehemu ya Kikosi cha Zambia Legends.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE