Home KITAIFA AKPAN KWAHERI YA KUONANA MSIMBAZI

AKPAN KWAHERI YA KUONANA MSIMBAZI

0

RASMI: Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kuachana na kiungo Viktor Akpan aliyesajiliwa kutoka Coastal Union msimu uliopita.

Kupitia taarifa yake kwa umma, Simba SC imesema Akpan (24) raia wa Nigeria hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo msimu ujao.

“Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja, Victor Akpan hatakuwa sehemu ya timu yetu ya msimu ujao.” Simba SC

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here