Home KITAIFA ALLY KAMWE :- 100% YA MAFANIKIO YA KLABU KUNA MAONI YA GAMONDI

ALLY KAMWE :- 100% YA MAFANIKIO YA KLABU KUNA MAONI YA GAMONDI

0

“Kuna tofauti kati ya kumtangaza Kocha na Kumpata Kocha, baada ya ripoti ya Nabi na klabu kujiridhisha kuwa Nabi hatoendelea kuwa na kikosi cha Yanga kwa Michezo inayofuata, mchakato wa kumpata kocha mpya ulianza, hatukutaka tufike kipindi cha usajili bila input (mchango) wa Kocha mpya.

“Baada ya kumpata tulichukua ripoti ya kocha Nabi tukashare na Gamondi.
Kwenye level kubwa ya ualimu, mwalimu hawezi kukubali kazi bila kusikia au kuona opinion (mawazo) ya mwalimu aliyeondoka.

“Baada ya Gamondi kupata ripoti ya Nabi na yeye kuwa anaifuatilia Yanga kuna input zake 100% kwenye maboresho ya Timu yetu,” Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here