Home KITAIFA CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

0

UEFA Champions League mkononi kwa ushindi wa bao la Rodri dakika ya 68 dhidi ya Inter Milan Uwanja wa Ataturk Olympic.

Katika mchezo huo Kocha Mkuu wa City Pep Guardiola alishuhudia vijana wake wàkipiga kona mbili na wapinzani wao Kona nne.

Jumla zilipigwa pasi 512 kwa City na 394 kwa Inter ambao wapipiga mashuti sita yaliyolenga lango.

Ikumbukwe kwamba timu hiyo imetoka kushinda taji la Ligi Kuu England.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here