Home KIMATAIFA CR 7 KAANDIKA REKODI NYINGINE

CR 7 KAANDIKA REKODI NYINGINE

0

MWAMBA huyu hapa Cristiano Ronaldo anaingia kwenye rekodi nyingine ya dunia.

Kitabu cha rekodi cha dunia maarufu kama Guinness kimeandika jina lake akiwa ni nyota wa kwanza kucheza mechi 200 akiwa na timu ya taifa ya Ureno.

Rekodi hiyo mpya aliiandika juzi wakati Ureno ikicheza dhidi ya Iceland katika kufuzu michuano ya EUERO na Ureno ikishinda bao 1-0.

Anakuwa staa wa Kwanza katika historia kucheza mechi 200 levo ya timu ya taifa akiwa na miaka 37.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here