• About Us
  • Blog No.1 Kwa Habari za Michezo na Burudani
  • Contact Us
  • Privacy Policy
Saturday, December 9, 2023
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
No Result
View All Result

FISTON MAYELE BALAA LAKE LIPO HAPA

Chikao by Chikao
June 7, 2023
in KITAIFA
0 0
Share on FacebookShare on WhatsappShare on Telegram

MZEE wa kutetema Fiston Mayele wa Yanga mguu, ‘guu’ lake la kulia lina balaa kitaifa na kimataifa kwenye kutupia mabao kutokana na kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani.

Nyota huyo wa Yanga ana tuzo ya mfungaji bora kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ametupia jumla ya mabao 7 na kuvaa medali ya mshindi wa pili Afrika.

Mbali na hayo mabao 7 pia kwenye ligi ni namba moja kwa mastaa wenye mabao mengi akiwa ametupia mabao 16 hivyo kwenye mashindano hayo makubwa mawili katupia jumla ya mabao 23.

Katika anga za kimataifa Mayele katupia mabao sita akitumia mguu wa kulia na mguu wa kushoto katupia bao moja ambapo aliwafunga Real Bamako ugenini ila Uwanja wa Mkapa aliwatungua kwa kutumia mguu wa kulia ikiwa ni timu iliyofungwa na Mayele nje ndani kwa miguu yote miwili.

Nyingine ambazo kazitungua Mayele ni US Monastri bao moja, Rivers United mabao mawili, Marumo Gallants bao moja na USM Alger bao moja kwenye fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa.

Kwenye ligi katika mabao 16 aliyofunga ndani ya Yanga ni mabao 12 katumia mguu wa kulia na mabao mawili kwa pigo la kichwa huku akitumia mguu wa kushoto kufunga mabao mawili.

Jumla Mayele katumia mguu wa kulia kufunga mabao 18 ule wa kushoto mabao matatu na katumia kichwa kufunga mabao mawili.

Tags: Yanga SC
ShareSendShare
Previous Post

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATANO

Next Post

VITA MPYA IMEIBUKA YANGA VS SIMBA

Related Posts

ihefu
KITAIFA

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally
KITAIFA

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
lomalisa
KITAIFA

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Simba chama
KITAIFA

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023
Load More

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Here

No Result
View All Result
ihefu

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
Pogba

POGBA KUKABILIANA NA KIFUNGO CHA MIAKA 4

December 8, 2023
lomalisa

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Anza siku yako kimichezo kwakupitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo tarehe 8 December 2023, Pitia vichwa vya habari na ujipatie nakala yako leo.

TUNAANZIA HAPA!, GAMONDI MZUKA,MATAJIRI WASHTUA – MWANASPOTI LEO

December 8, 2023
Simba chama

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023

Msimamo wa Ligi Kuu

SOKALEO

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

  • Home
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • About Us

No Result
View All Result
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In