Home KITAIFA HUYU HAPA GAMONDI MRITHI WA NABI YANGA

HUYU HAPA GAMONDI MRITHI WA NABI YANGA

0

Klabu ya Yanga imemtangaza MIGUEL ANGEL raia wa Argentina GAMONDI kuwa Kocha mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Nasriddine Nabi ambaye ameondoka baada ya msimu uliopita.

Miguel ana uzoefu na soka la Afrika kwa kufundisha Wydad Casablanca, Esperance de Tunis, Mamelodi Sundowns, ASEC Mimosas, USM Alger na Timu ya Taifa ya Burkina Faso.

Baadhi ya mafanikio yake akiwa Afrika ni kufika Nusu Fainali CAF Champions League msimu wa 2020|21 akiwa Kocha wa Wydady Casablanca

Msimu wa 2005|06 aliipa Mamelodi Sundowns ubingwa wa Ligi ya Afrika Kusini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here