Uchungu haukuwa mbali na dunia ya soka, mawingu yalikuwa yanakwenda kasi kuhesabu siku za uzao wa wana wa Mungu,vitanda havikujuta kubeba wale wanawake wajawauzito,ile siku ya kuzaliwa mtetemaji ina akisi matukio haya.
Basi Leo pale jangwani keki ya siku kuzaliwa itatukumbusha hakika Mwenyezi Mungu ni mkuu na mafanikio ya jangwani yanaakisi uchungu wa Mama mjauzito pale kitandani na hakika Fiston hakuwa kujuta kuwa Kalala na Jina la Mayele litaishi milele kwenye mioyo ya walevi wa soka.
Kila nikikumbuka kuhusu keki,kila nikikumbuka kuhusu binadamu ni matokeo ya tone la manii na hakuna mbadala wa mwanamke machozi yana nitoka kwasababu Mwenyezi Mungu hajawahi kuacha kutumbusha kuhusu miujiza ya uumbaji.
Happy birthday Fiston Mayele
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE