Home KITAIFA KISINDA KWAHERI YA KUONANA YANGA

KISINDA KWAHERI YA KUONANA YANGA

0

Klabu ya @yangasc imeachana na mchezaji raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda ikiwa ni baada ya mkataba wake kuisha ndani ya klabu hiyo.

Taarifa ya Yanga imesema “Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here