Mbeya City imebakiza nafasi ya kuendelea kutamba Ligi Kuu au kushuka daraja, City inakutana na Mashujaa kucheza Playoff nyingine itakayo amuamua safari ya msimu ujao.
Mbeya city iliyomaliza Ligi nafasi ya 14 na pointi 31 katika hatua ya kwanza ya mtoano ilishinda 2-1 dhidi ya KMC Uwanja wa Sokoine Mbeya na kufungwa 2-0 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam dhidi ya KMC
City wanakutana na Mashujaa Juni 19 katika Uwanjan wa Lake Tanganyika Kigoma
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE