Home KITAIFA MUONEKANO WA KOMBE JIPYA LA NBC

MUONEKANO WA KOMBE JIPYA LA NBC

0

HILI hapa kombe jipya la NBC Premier League ambalo watakabidhiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga.

Leo Juni 7,2023 limezinduliwa kombe hilo mbele ya Waandishi wa Habari makao makuu ya benki hiyo, Posta.

Yanga imetwaa taji hilo mara ya pili mfululizo ikiwa ni msimu wa 2021/22 na msimu huu pia wa 2022/23 lipo mikononi mwa Yanga.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here