Home KITAIFA NDEMLA AFUNGA MJADALA WA KWENDA AZAM

NDEMLA AFUNGA MJADALA WA KWENDA AZAM

0

Kiungo wa Singida Fountain Gate FC Said Hamis Ndemla amefuta uvumi uliokuwa umeenea kwamba yuko mbioni kujiunga na Azam FC.

Aidha kiungo huyo amesema mpaka sasa amepokea ofa nyingi kutoka klabu mbali mbali za Ligi kuu lakini yeye bado ana mkataba wa mwaka moja na klabu yake.

Ukiacha Azam FC klabu zingine ambazo zinahusishwa kutaka kumsajili ni JKT Tanzania na Mtibwa Sugar.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here