Home KIMATAIFA “NIMEFANYA NGONO NA WANAWAKE 10,000” MCHEZAJI WA MAN CITY BENJAMIN MENDY

“NIMEFANYA NGONO NA WANAWAKE 10,000” MCHEZAJI WA MAN CITY BENJAMIN MENDY

0

Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy anadaiwa kufanya ngono na wanawake 10,000.

Mahakama iliambiwa kuwa Mendy alimbaka msichana mmoja kisha akamwambia “ni sawa, nimefanya ngono na wanawake 10,000”.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anatuhumiwa kumshambulia mwanamke huyo, mwenye umri wa miaka 24 wakati huo, kwenye jumba lake la kifahari la pauni milioni 4 huko Mottram St Andrew, Cheshire, Oktoba 2020.

Pia anatuhumiwa kwa jaribio la kumbaka mwanamke mwingine, mwenye umri wa miaka 29 wakati huo, ambaye alisema pia alimshambulia nyumbani kwake miaka miwili kabla.

Mwanasoka huyo amekanusha mashtaka yote mawili.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here