Home KITAIFA RASMI FAISAL AAGWA YANGA, SASA NI MALI YA AZAM

RASMI FAISAL AAGWA YANGA, SASA NI MALI YA AZAM

0

Uongozi wa Yanga SC umetangaza kumalizana na mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye rasmi wamemuuza klabu ya Azam FC.

Katika taarifa iliyotolewa na timu hiyo imeeleza dau ambalo ameuzwa halitawekwa wazu kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.

“Feisal ataungana na timu yake mpya baada ya makubaliano binafsi na dirisha la usajili kufunguliwa rasmi,”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here