Home Uncategorized SINGIDA BIG STARS YAUZWA

SINGIDA BIG STARS YAUZWA

0

Klabu ya Singida Big Stars imeuzwa na kununuliwa na Fountain Gate FC na sasa timu hiyo itaitwa Singida Fountain Gate FC na kuwa chini ya mmiliki Japhet Makau.

Aidha timu hiyo itakuwa chini ya wajumbe nane itakayoundwa na Raisi wa timu Japhet Makau Lakini kwa masharti timu kubaki mkoani Singida, wajumbe hao ni pamoja na;

Festo Sanga – Mbunge
Musa Sima – Mbunge
Joseph Msafiri – Principal wa FGA
Alexander Mnyeti – Mdau na mmliki wa zamani wa Gwambina.
Ibrahim Mirambo – Mdau kutoka Singida
Omar Kiwanda – Mdau wa soka
John Kadutu – Mbunge wa zamani/CEO wa muda SBS/Mjumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here