Home KITAIFA WAMEVUNA BIL.7 WADHAMINI BIL.3 ZA CAF & VINGILIO

WAMEVUNA BIL.7 WADHAMINI BIL.3 ZA CAF & VINGILIO

0

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said wakati anahutubia kwenye Mkutano Mkuu amesema, kwa msimu wa 2022|23 klabu ya Yanga imefanikiwa kutengeneza zaidi ya Tsh. 7 bilioni. Fedha hizo zinatokana na wadhamini mbalimbali wa klabu hiyo.

Eng. Hersi pia amesema, Yanga imeingiza zaidi ya Tsh. 3 bilioni kupitia mafanikio yaliyotokana na ushiriki wa mashindano mbalimbali na mapato yanayotokana na viingilio vya mechi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here