Home KITAIFA WAPEWA MKONO WA ASANTE AZAM FC

WAPEWA MKONO WA ASANTE AZAM FC

0

KIUNGO wa Azam FC Keneth Muguna ni miongoni mwa nyota ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24.

Raia huyo wa Kenya hajawa na msimu bora ndani ya 2022/23 kutokana na kushindwa kuonyesha makeke yake.

Ni shuhuda wa timu hiyo ikipoteza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation kwa ubao wa Uwanja wa Mkwakwani kusoma Azam FC 0-1 Yanga.

Pia Rodgers Kola naye ambaye ni mshambuliaji raia wa Zambia naye pia hatakuwa kwenye kikosi hicho.

Mwingine ni Bruce Kangwa ambaye alijiunga na timu hiyo 2016.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here