Home KITAIFA MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI, APATA DILI HILI

MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI, APATA DILI HILI

0
mgunda

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri.

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri. Akitoa taarifa hiyo Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula amesema Kocha Mgunda ana uzoefu mkubwa atatumika katika timu za vijana,timu ya wanawake na hata timu ya kubwa ya Simba SC.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here