Home KITAIFA YANGA KUKIWASHA WIKI YA WANANCHI NA KAIZER CHIEFS

YANGA KUKIWASHA WIKI YA WANANCHI NA KAIZER CHIEFS

0

RASMI kwenye wiki ya Mwananchi Klabu ya Yanga itakuwa na kazi Uwanja wa Mkapa Julai 22 2023 kuwapa burudani mashabiki wa timu hiyo.

Ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs,Yanga itacheza ukiwa ni mwanzo wa kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24.

Wiki hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na wale waliobaki ndani ya kikosi.

Pia benchi la ufundi ni jipya hivyo utambulisho utakuwa wà kipekee na utakuwa NI mchezo wa kwanza wa kimataifa Kwa Miguel Gamondi kocha wa Yanga.

Miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Yanga na kutambulishwa ni mzawa wa kazi Nickson Kibabage na Gift Fred huyu kutoka Uganda

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here