Home KITAIFA AHMED ALLY AFUNGUKA KUHUSU FUNGULIA MBWA YA YANGA, ALLY KIBA AHUSISHWA

AHMED ALLY AFUNGUKA KUHUSU FUNGULIA MBWA YA YANGA, ALLY KIBA AHUSISHWA

0
ahmed ally

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally ameandika..

“Hadhi na Heshima ya King Ally Kiba sio kuimba kwenye tamasha la fungulia mbwa, King anatakiwa kuimba kwenye Tamasha lililojaa watu tena walioingia kwa kiiingilio chao hapo tunazungumzia Simba Day.”

Kiba ambaye infahamika alikuwa shabiki wa Yanga SC, ametambulishwa rasmi kujiunga kuwa shabiki wa Simba na atapafomu kwenye tamasha la Simba Day, Agosti 6, 2023.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here