Home KITAIFA DJUMA SHABAN NA YANGA SASA SHUGHULI IMEKWISHA, HATA SIMBA FRESH TU

DJUMA SHABAN NA YANGA SASA SHUGHULI IMEKWISHA, HATA SIMBA FRESH TU

0
Djuma Shaban

Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban.

Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi Jangwani, sasa yupo huru kujiunga na Timu yoyote hata Simba wakimtaka.

Djuma bado ana Mkataba na Yanga lakini hakuwa kwenye mipango ya timu na Yanga walitaka kumtoa kwa mkopo lakini yeye aligoma akitaka kuvunjiwa Mkataba.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here