Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kile walichokifanya katika mchezo dhidi ya Magereza ni kionjo tu na inamaanisha Yanga ya Gamondi itakua ikifunga magoli kama Mvua.
Yanga walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Magereza na kuifunga goli 10-0 katika mchezo wa kujiweka sawa kuelekea mchezo wa kwanza wa ngao ya Hisani dhidi ya Azam FC.
Kabla ya mchezo dhidi ya Aam Yanga wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Klabu ya AS Vita ya Congo Agosti 6.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE