Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Yanga jana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Mayele ameposti Picha akiwa GYym anafanya mazoezi na kuandika;
“hakuna kupowa sio Kama wale ukwaju”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE