Home KITAIFA ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HII HAPA

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HII HAPA

0

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kitaweka kambi jijini Tunisi, Tunisia kwa ajili ya kujiandaa kwa mchezo wa marudiano wa Kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Algeria.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, 2023. Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu Adel Amrouche ambyae ametaja orodha hii:-

Beno Kakolanya (Singida BS)

Metacha Mnata (Yanga SC)

Erick Johola (Geita Gold)

Ibrahim Hamad ‘Bacca’ (Yanga SC)

Bakari Mwamnyeto (Yanga SC)

Dickson Job (Yanga SC)

Mzamiru Yassin (Simba SC)

Sospeter Bajana (Azam FC)

Clement Mzize (Yanga SC)

Kibu Denis (Simba SC)

Himid Mao Mkami (Tala’ea El Gaish, Misri)

Mudathir Yahya (Yanga SC)

Abdul Sopu (Azam FC)

Abdulmalik Zakaria (Namungo FC)

John Bocco (Simba SC)

Kenedy Juma (Simba SC)

Lameck Lawi (Coastal Union)

Jonas Mkude (Yanga SC)

Morice Abraham (FK Spotak Subotica, Serbia)

Haji Mnoga (Aldershot Town, Uingereza)

Ben Starkie (Basford United, Uingereza)

Saimn Msuva (JS Kabylie, Algeria)

Novatus Dismas (Zulte Waregem, Ubelgiji)

Mbwana Samatta (PAOK FC, Ugiriki)

Abdi Banda (Richards Bay F.C, Afrika Kusini)

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here