Home KITAIFA STRAIKA HUYU WA YANGA ATUA KATIKA KLABU HII YA KENYA KIMYA KIMYA

STRAIKA HUYU WA YANGA ATUA KATIKA KLABU HII YA KENYA KIMYA KIMYA

0
yanga

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni.

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrundi Fiston Abdulrazack amejiunga na klabu ya Sofapaka fc ya Kenya kwa mara nyingine akitokea uarabuni. Akizungumza mara baada ya utambulisho wake Fiston amesema amekata ofa kadhaa kutoka vilabu vya Uarabuni kama Saudia, Kuwait na Lebanon ili kutua Sofapaka

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here