Home KITAIFA AISHI MANULA IS BACK

AISHI MANULA IS BACK

0

Daktari wa Simba Edwin Kagabo amefunguka juu ya hali ya golikipa Aishi Manula inaendelea vizuri na amekuwa akifanya kwa usahihi programu anazopewa na muda wowote anaweza kujiunga na wenzake.

“Alipewa mazoezi tiba na kuyafanya vizuri, ameimarika kwa haraka sana na baada ya vipimo vya mwisho baada ya timu kutua anaweza kujiunga na wenzake,” alisema Kagabo.

Kwa maana hiyo kama Manula ataanza mazoezi wiki hii, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kikosini kwenye mechi ya kwanza ya African Super League dhidi ya Al Ahly kutoka Misri mchezo utakaopigwa Oktoba 20, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here