Home KIMATAIFA CHAMA AIBEBA SIMBA, SIMBA IKITOKA SARE UGENINI

CHAMA AIBEBA SIMBA, SIMBA IKITOKA SARE UGENINI

0
Chama simba

Magoli mawili ya Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama yameitoa Simba SC nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya wenyeji Power Dynamos ya Zambia katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

FT: Power Dynamos 🇿🇲 2-2 🇹🇿 Simba SC
⚽️ Inonga (og) 38′
⚽ Mulombwa 75′
⚽⚽️ Chama 60′ 90+3′

Power Dynamos walimaliza mchezo wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Dominick Chanda kuoneshwa kadi nyekundu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here