Home KITAIFA KIKOSI CHA SIMBA KIMESHATUA ZAMBIA KIBOSI

KIKOSI CHA SIMBA KIMESHATUA ZAMBIA KIBOSI

0
simba zambia Simba SC

Kikosi cha wachezaji na Benchi la Ufundi la Simba Sc Wamewasili Salama nchini Zambia tayari Kwaajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mzunguko wa Kwanza dhidi ya Power Dynamos siku ya Jumamosi Majira ya Saa 10:00 Jioni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here