Home KITAIFA MANULA NDIO UCHOCHORO WA SIMBA KUWA KIBONDE

MANULA NDIO UCHOCHORO WA SIMBA KUWA KIBONDE

0
aishi manula

Tangu Golikipia namba moja wa Simba SC, Aishi Manula apate majeraha ambayo ndiyo yamemweka nje mpaka sasa, Simba imekuwa sio timu tena ya kuhakikisha inalilinda lango lake kwa asilimia zote ili mpinzani asipate nafasi ya kuchafua Gazeti.

Hili linathibitishwa na takwimu za sasa ambazo zinaonesha kwamba Timu hiyo katika michezo yao mitatu ya mwisho ukijumlisha na wa juzi dhidi ya Power Dynamos wameruhusu magoli 5 na mchezo pekee ambao hawakuruhusu goli ni dhidi ya Dodoma Jiji pekee.

Takwimu za Simba katika mechi nne za mwisho

  • Simba SC v Ziré (1-1)❌
  • Mtibwa Sugar v Simba SC (4-2)❌
  • Simba SC v Dodoma Jiji (2-0) ✅
  • Power Dynamo’s v Simba (2-2)❌
  • Mechi – 4
  • Cleansheet – 1.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here