Home KITAIFA MSUVA AANZA NA MOTO JS KABYLIE, ALGERIA

MSUVA AANZA NA MOTO JS KABYLIE, ALGERIA

0
msuva JS Kabylie

Nyota wa Taifa Stars Simon Msuva ameanza na moto akiwa na timu mpya iliyomsajili hivi karibu ya JS Kabylie ya Algeria 🇩🇿

Msuvan katika mechi ya kwanza akiichezea timu hiyo ilishinda mabao 5-1, huku straika huyo akihusika katika mabao mawili, alifunga moja na kutoa assist moja kufunguka imempa taswira ya timu hiyo ilivyo.

“Nashukuru nimeanza vizuri pamoja na timu yangu kuondoka na ushindi mnono mechi ilikuwa nzuri na imenipa taswira ya mbeleni kupoje na kuendelea kupambana zaidi,” alisema Msuva.

msuva JS Kabylie

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here