Klabu ya Yanga Sc inatarajia kuondoka nchini leo Alhamisi, Septemba 14, 2023 kuelekea nchini Rwand bila nahodha wao Bakari Ndono Mwamnyeto.
Nahodha huyo ataukosa mchezo wa kwanza wa kutafta mshindi wa kufuzu hatua ya makundi ya Caf Champions League dhidi ya El-Merrikh kutokona na matatizo ya kifamilia.
Kocha Gamondi ameshampa ruhusa ya kwenda kushugulika na matatizo ya kifamilia hivyo Nondo ataungana na timu pindi itakapokuwa imerudi kutoka Rwanda.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE