Home KITAIFA ROBERTINHO AJITAMBA NA KIKOSI CHA MOTO

ROBERTINHO AJITAMBA NA KIKOSI CHA MOTO

0

“Huu ndio ushindani ambao tuliutaka wakati tunafanya usajili unaona sasa unaweza kuwa na watu wanaoanza na wengine bora kuja kuingia baadaye na timu ikabaki kucheza kwa ubora mkubwa, hili limekuja baada ya kuwa sawa kwa Miquissone (Luis) na Karmo,”

“Tumemaliza mechi za kirafiki sasa tutaanza kuwafikiria Power Dynamo kwa kina kitu kilichonivutia ni kuwa na mtu mwingine ambaye anajua kufunga Kramo, nimemwambia anisikilize kuna wakati tutakuwa tunamtumia kama winga lakini upo wakati tutamsogeza mbele kucheza kama mshambuliaji kwa kuwa ana akili kubwa ya kufunga.“

“Mimi nilicheza hizo nafasi wakati nacheza ukiwaangalia Kramo na Miquissone wana ubora mkubwa wa kucheza pembeni lakini pia hapohapo wanaweza kucheza pale nyuma ya mshambuliaji wa mwisho jambo zuri wanajua kufunga.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here