Home KITAIFA ROBERTINHO KUTUMIA MBINU TATU KUMALIZA MCHEZO

ROBERTINHO KUTUMIA MBINU TATU KUMALIZA MCHEZO

0
robertinho

“Sio mchezo mwepesi ila naamini kwenye maeneo matatu kuzuia, kukaba na kushambulia hiyo ni mbinu nitakayoitumia katika mchezo huo wa kesho Jumamosi,”
.
.“Mashabiki wameonyesha ushirikiano na hii sio mara ya kwanza kufanya hivyo, tuna wajibu wa kuwapa furaha kabla ya mechi ya nyumbani,” alisema kocha huyo raia wa Brazil.
.
Simba watamkosa winga Aubin Kramo ambaye aliyerejea kwenye majeruhi na kuwasha moto kwenye mechi tatu zilizopita za kirafiki. Mmoja wa watu wa benchi la ufundi, alidokeza ARENA express kuwa Kramo ameumia goti na atakosa mchezo huo na hata ule wa marudiano kwa vile atakuwa nje kwa muda wa wiki mbili kabla ya kurudi uwanjani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here