Home KITAIFA SAKATA LA KUMPA OSIDE MIMBA MUHUSIKA ASIMAMISHWA

SAKATA LA KUMPA OSIDE MIMBA MUHUSIKA ASIMAMISHWA

0

Uongozi wa Klabu ya Fountain Gate Princess umesikitishwa na taarifa za aliyekuwa mchezaji wao Peris Oside kukutwa na ujauzito huku mtuhumiwa akitajwa kuwa mmoja kati ya viongozi wa Klabu hiyo.

Uongozi wa juu wa Klabu umemsimamisha kazi mara moja mtuhumiwa huku ukiwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa mamlaka za uchunguzi na mashirikisho TFF na FKF kwani wao kama Klabu hawaungi mkono vitendo vyovyote vinavyoashiria unyanyasaji .

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here