Home KITAIFA AFL MWAKANI ZITASHIRIKI TIMU 24

AFL MWAKANI ZITASHIRIKI TIMU 24

0

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema kuanzia msmu ujao michuano ya African Football League itashirikisha timu 24.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wa leo, Motsepe amesema timu zitakazoshiriki zitakuwa kwenye mfumo wa ranki za CAF.

“Timu tutazipata kupitia ranki za CAF pamoja na mafanikio yake katika ligi za nyumbani.” amesema Motsepe.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here