Home KITAIFA ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO

ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO

0
jezi feki

Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza nchini.

Amesema leo atamtaja kwa jina ili umma ujue ni nani anayehusika na kuleta mzigo huo nchini.

Sakata la jezi feki linakuja baada ya @sandalandtheon1 kukamata mzigo feki katika moja ya sehemu za kuhifadhia Mizigo Jijini Dar es Salaam.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here