Home KITAIFA HAYA HAPA MAKUNDI YOTE AFCON 2023, TANZANIA NDANI

HAYA HAPA MAKUNDI YOTE AFCON 2023, TANZANIA NDANI

0
afcon

TAYARI makundi ya AFCON yameshajulikana na kila mmoja kumtambua mpinzani wake.

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  imepangwa Kundi ‘F’ Ikiwa na Zambia, DR Congo na Morocco katika fainali ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 nchini Ivory Coast.

Makundi yote sita yako hivi:-

KUNDI A

 • Ivory Coast
 • Nigeria
 • Equatorial Guinea
 • Guinea Bissau.

KUNDI B

 • Egypt
 • Ghana,
 • Cape Verde
 • Msumbiji.

KUNDI C

 • Senegal
 • Cameroon
 • Guinea
 • Gambia.

KUNDI D

 • Algeria
 • Burkina Faso,
 • Mauritania
 • Angola.

KUNDI E

 • Tunisia
 • Mali
 • South Africa
 • Namibia.

KUNDI F

 • Morocco
 • DR Congo
 • Zambia
 • Tanzania.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here