Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrice Motsepe, amelitambulisha rasmi kombe ambalo atakabidhiwa bingwa wa michuano ya African Football League (AFL).

Motsepe ametambulisha kombe hilo mara baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita jijini Dar es Salaam.
Kiongozi huyo leo atashuhudia mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo kati ya Simba SC na Al-Ahly Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Timu nane zinawania kombe hilo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE