Home KITAIFA KUMBE SIMBA WALITAKA WENYEWE KUTOLEWA NA AL AHLY

KUMBE SIMBA WALITAKA WENYEWE KUTOLEWA NA AL AHLY

0
simba

Mchambuzi wa Wasafi Fm, George Job amesema anaamini kuwa Klabu ya Al Ahly walikuwa wapo vibaya kiasi ambacho Simba Sc wamepoteza nafasi ya kuwatoa Waarabu hao ambayo haikuwa vizuri.

Job amesema hayo kwenye kupindi cha #SportsArena akiamini kuwa kama Al Ahly wangekuwa kwenye ubora wao basi Simba wasingeweza kuambua sare, lakini Ahly walikuwa vibaya ni Simba wenyewe wameshindwa kuwatoa Ahly ambayo wako vibaya.

Simba iliondolewa juzi katika michuano ya African Football League baada ya kutoa sare ya jumla ya mabao 3-3 lakini kanuni ndiyo iliamua kutokana na Mnyama kuwa na mabao machache ya ugenini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here