Jana usiku Klabu ya Yanga sc ‘Wananchi’ walifika salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa Oktoba 04, 2023 dhidi ya Ihefu Fc.
Yanga wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa msimu uliopita ambapo Unbeaten za wananchi ziliishia pale Highland Estate Mbarali.
Vipi msimu huu mambo yatakwendaje kwa Yanga hii ya Gamondi?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE