Home HABARI ZA YANGA LEO MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL, AFUNGUKA HAYA

MANARA AIPA UBINGWA YANGA CAFCL, AFUNGUKA HAYA

0
Haji Manara

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema anaiona Yanga SC ikienda kushinda kikombe cha Klabu Bingwa Afrika msimu huu wa 2023/24.

Manara amesema kuwa amezitazama timu nyingi zilizofuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa na kuona inawezekana kwa Yanga SC kushinda kikombe hicho.

“Yanga SC wana uwezo wa kuchukua hiki kikombe, wana timu imara ya kushindani katika kila idara, hivyo inawezekana kabisa wakachukua kikombe.

“Kama hawajawa mabingwa wajitahidi kufika hata hatua ya nusu fainali, lakini robo fainali ni hatua ambayo Simba SC huwa wanafika,“ amesema Haji Manara.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here