TAARIFA KWA UMMA kutoka kwa JKT Tanzania kwenda kwa Mashujaa ambapo ni Onyo kali imetolewa leo kwa wapinzani wao la kujiandaa na Kipigo Cha Kizalendo 😅😅
Timu zote ni kutoka taasisi moja wacha tushuhudie boli la kizalendo litakapotembea hapo kesho katika uwanja wa CCM Kambarage majira ya Saa 10:00 Jioni.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE